MHE. LOWASSA AZINDUA JOSHO LA MIFUGO KIJIJI CHA MFEREJI MONDULI JUU
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kusalimia wananchi wa Kijiji cha Monduli juu, Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo katika kijiji cha Mfereji Monduli juu.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikaribishwa kwenye kijiji cha Mfereji Monduli juu,wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo,lililoko katika Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu.Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Mfereji,Monduli juu wakimsikiliza Mh. Lowassa (hayupo pichani).
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu,mara baada ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo.
imewekwa na : MUHIDIN SUFIANI Muda: Wednesday, December 19, 2
siyo kiivyo tena,Good style lakini fimbo ndo itamsafisha kwa wapiga kula wake? I mean watanzania sin a shaka na wale wapori pori wenzie watampa maana ED kule kwao ni Mungu Mtu hasa!!!
MHE. LOWASSA AZINDUA JOSHO LA MIFUGO KIJIJI CHA MFEREJI MONDULI JUU
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kusalimia wananchi wa Kijiji cha Monduli juu, Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo katika kijiji cha Mfereji Monduli juu.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikaribishwa kwenye kijiji cha Mfereji Monduli juu,wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo,lililoko katika Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu.Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Mfereji,Monduli juu wakimsikiliza Mh. Lowassa (hayupo pichani).
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu,mara baada ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo.
imewekwa na : MUHIDIN SUFIANI Muda: Wednesday, December 19, 2
Huyu Bwana nasikia sana kichefuchefu kila nikisikia kwamba anataka kuwa Rais. Mwl. Nyerere alimkataa kwa kuwa alijua kuwa si msafi. Kikwete alikataliwa pia na Nyerere pamoja na kwamba Kikwete alimshinda Mkapa kwenye kura, ikasemekana ulikuwa ni uchaguzi wa mizengwe. Tumeshuhudia ni kwa nini Nyerere alimkataa Kikwete kwani ametokea kuwa the weakest President ever, sasa tutarajie kuvuna nini kutoka kwa huyu fisadi papa?
Tiba
NDHANI NYERERE KUNA KITU HAKUFUATILIA JUU YA WAPI LOWASA ALIPOPATA FEDHA AMBAYO ILIMSABABISHIA UGONVI NA NYERERE.
TUNAVYOKUMBUKA NI KWAMBA HADI 1995 LOWASA HAKUWA FISADI KIVILE NADHANI NYERERE ALIPASWA KUMBANA ZAIDI NA HAPO NDIPO INGEFAHAMIKA KWAMBA LOWASA ALIKUWA MBEBA MKOBA WA JK, KUMBUKA KUWA JK ALIKUWA KWENYE NAFASI ZA JUU KWA MUDA SO FEDHA YOTE ALIKUWA ANAKAMAT LOWASA KIMYA KIMYA
Ndio katokanacho naijeria nini? Mana alikuwepo kule wiki iliyopita.