D Dudu1 Member Joined Oct 19, 2014 Posts 34 Reaction score 17 Jan 5, 2015 #21 SHIEKA said: Mshana bwana! Nimefungua thread nikidhani nitakuta picha ya lile ua ambalo ukiligusa tu linajikunja na kunywea!Linaitwa 'kifaurongo' Sasa huyu mdenish kafakamia whisky mpaka anadondoka kwenye kiti unamwita kifaurongo? Click to expand... SHIEKA happy new year nimeazima simu ya member Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
SHIEKA said: Mshana bwana! Nimefungua thread nikidhani nitakuta picha ya lile ua ambalo ukiligusa tu linajikunja na kunywea!Linaitwa 'kifaurongo' Sasa huyu mdenish kafakamia whisky mpaka anadondoka kwenye kiti unamwita kifaurongo? Click to expand... SHIEKA happy new year nimeazima simu ya member