Kifaranga kimetoka!

Hakuna lolote ni mizengwe tu na kizazaa na kizai zai au zee comedy ya futuhi
 
Maskini dah,atakuwa amebadilishiwa yai.
 
Hii ni lugha ya picha ambayo inaonesha watu wamesubiri katiba kwa muda mrefu. Na walitegemea itatoka kama ambavyo wao wanadhania itakidhi matakwa yao angalau kidogo lakini matokeo yake kimetokea kitu cha ajabu tofauti na walivyokuwa wanafikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…