Kifanyike kitu gani watu wadumu kwenye ndoa?

Wewe mwenyewe unaweza ukaamka asubuhi ukafarakana na nafsi yako..sembuse mtu ambaye hata hukuzsliwa naye...??

Hapo kinachohitajika ni uvumilivu tu..ndipo ndoa zitasalimika..
 
Habari zenu!
Nina maswali kidogo..kuhusu ndoa Na mahusiano kwa ujumla.Unakuwa watu wamependana wenyewe wakafunga mpaka ndoa, ama wapo kwenye uhusiano..Baada ya Muda Ni ugomvi, kusalitiana, huyu ana mteta huyu, siri zinaanza kutolewa, jamani ndugu zangu.Ni nini hasa kinachosababisha ?? Sio wote lakini nashawishika kusema ni Tatizo la Dunia.Mfano.Mfano.Unaweza sema sababu ya pesa( kuna wanaopewa kila kitu but ndoa/ uhusiano unavunjika! Kuna wanaobembelezwaa na kuenziwaa uhusiano unavunjika( nikawaza au ni maumbile?? Labda unapendana na mtu kwa nje( siku mnalala wote unakuta bwawa au kibamia?? Au siooo? Au Sio bwawa Sio kibamia but wana achana Na wengine kufikishana Mpaka police kwa wajumbe.
Je Hakuna mjadala wowote Ili kujifunza Walau kuponya kizazi Na vizazi vijavyo? Kumbukeni Mapenzi hana nguvu yakitumika vibaya ndo chanzo cha watoto wengi wa mitaani.Je Tufanye nini??


Cha msingi ni kutambua kuwa kila mwanadamu ana mapungufu,ukiwemo na wewe.hivyo basi kitu kikubwa kabisa kinachoweza kufanya ndoa idumu ni KUJIFUNZA KUVUMILIA MAPUNGUFU YA MWENZA WAKO..........ukimudu hilo,mtaishi miaka mia aisee
 
Imeandikwa " Mwanaume na aishi na mkewe Kwa Akili" lakini wanaume wengi wanaishi na wako zao bila kuwa hata aware na hili andiko! Aliyemuumba mwanamke ndiye anakwambia Wewe mwanaume ishi naye Kwa Akili na siyo kiroho au vyovyote uonavyo Wewe Ni sawa! Pia mwanaume ameagizwa kumpenda mkewe Kama Kristo alivyolipenda kanisa hata akafa Kwaajili ya kulikomboa, na wanawake wameagizwa kuwatii Waume zao Kwa kila jambo Kama yeye alivyokuwa mtii hata mauti ya msalaba
 
Waruhusiane kuchepuka bila ya kuwa na wivu. Haki.nakwambia mtaishi milele bila shida wala.kelele
 
Nimefarijika sana Na michango ya wadai.Kweli tukiwa wavumilivu Na upendo ndoa ama mahusiano mengi.Yatadumu. Nakumbuka bibi Yangu alikuwa anavumilia vituko vya Babu. Ndo naamini Leo ndoa ni uvumilivu.Kwa vituko vile hakuna mwanamama wa Leo wa kuweza.Kumbe Ili ndoa idumu..mmoja lazima ajishushe chini.
 
Nimefarijika sana Na michango ya wadai.Kweli tukiwa wavumilivu Na upendo ndoa ama mahusiano mengi.Yatadumu. Nakumbuka bibi Yangu alikuwa anavumilia vituko vya Babu. Ndo naamini Leo ndoa ni uvumilivu.Kwa vituko vile hakuna mwanamama wa Leo wa kuweza.Kumbe Ili ndoa idumu..mmoja lazima ajishushe chini.

ilo ulilosema naona ni jambo muhim sana katika mahusiano hata kama sio ndoa ila wapenzi tu ni vema kusameana. naamini ata wewe ukifuata bibi alivyokuwa anamfanyia babu - kumvumilia na kujishusha-utakuwa mke bola sana. uvumilivu na kusahemeana ni nguzo katika mausiano.
 
mimi nitajiolea kigori aliyeishia darasa la saba full stop,hawa wasomi sana ni majanga zaidi kwa ndoa zetu..
 
Bila HOFU YA MUNGU na MAOMBI ndoa zitaweweseka kama tufani mpaka Yesu atakaporudi.
 
Bila HOFU YA MUNGU na MAOMBI ndoa zitaweweseka kama tufani mpaka Yesu atakaporudi.
Tatizo siku hizi Mwanaume akimwaga mboga mwanamke anamwaga Ugali...badala ya kuepusha shari na kupika mboga ingine...

Haya mambo ya berlin na utandawazi sijui na wanaharakati hawa wamewavurugA sana wake...
 
Back
Top Bottom