Kifanyike kitu gani watu wadumu kwenye ndoa?

Habari zenu!
Nina maswali kidogo..kuhusu ndoa Na mahusiano kwa ujumla.Unakuwa watu wamependana wenyewe wakafunga mpaka ndoa, ama wapo kwenye uhusiano..

Baada ya Muda Ni ugomvi, kusalitiana, huyu ana mteta huyu, siri zinaanza kutolewa, jamani ndugu zangu.Ni nini hasa kinachosababisha ?? Sio wote lakini nashawishika kusema ni Tatizo la Dunia.Mfano.Mfano.Unaweza sema sababu ya pesa( kuna wanaopewa kila kitu but ndoa/ uhusiano unavunjika!

Kuna wanaobembelezwaa na kuenziwaa uhusiano unavunjika( nikawaza au ni maumbile?? Labda unapendana na mtu kwa nje( siku mnalala wote unakuta bwawa au kibamia?? Au siooo? Au Sio bwawa Sio kibamia but wana achana Na wengine kufikishana Mpaka police kwa wajumbe.

Je Hakuna mjadala wowote Ili kujifunza Walau kuponya kizazi Na vizazi vijavyo? Kumbukeni Mapenzi yana nguvu yakitumika vibaya ndo chanzo cha watoto wengi wa mitaani.Je Tufanye nini??

JIBU NINALO NA NI LA UHAKIKA, ILA KWA SASA MUDA WA KUANDIKA SINA, LABDA BAADAYE,
 
Ndoa itadumu kulingana na msingi imara mlioweka wakati wa uchumba. Mlichunguzana pasipo unafiki na mkaanza maisha ya pamoja. Kama hakuna mnafiki wakati wa uchumba basi ndoa ni ya kudumu na amani. Ninashauri uchumba uchukue mda mrefu.
 
Kila mmoja kumuogopa mwenyezi Mungu ndo kitu cha kipekee kitakachotukomboa hasa kwa vijana ambao bado wanatamani kuingia kwenye Ndoa bila kujiandaa kwa namna moja ama nyingine
 
Habari zenu!
Nina maswali kidogo..kuhusu ndoa Na mahusiano kwa ujumla.Unakuwa watu wamependana wenyewe wakafunga mpaka ndoa, ama wapo kwenye uhusiano..

Baada ya Muda Ni ugomvi, kusalitiana, huyu ana mteta huyu, siri zinaanza kutolewa, jamani ndugu zangu.Ni nini hasa kinachosababisha ?? Sio wote lakini nashawishika kusema ni Tatizo la Dunia.Mfano.Mfano.Unaweza sema sababu ya pesa( kuna wanaopewa kila kitu but ndoa/ uhusiano unavunjika!

Kuna wanaobembelezwaa na kuenziwaa uhusiano unavunjika( nikawaza au ni maumbile?? Labda unapendana na mtu kwa nje( siku mnalala wote unakuta bwawa au kibamia?? Au siooo? Au Sio bwawa Sio kibamia but wana achana Na wengine kufikishana Mpaka police kwa wajumbe.

Je Hakuna mjadala wowote Ili kujifunza Walau kuponya kizazi Na vizazi vijavyo? Kumbukeni Mapenzi yana nguvu yakitumika vibaya ndo chanzo cha watoto wengi wa mitaani.Je Tufanye nini??
Mpaka pale sheria ya ndoa itakapotambua kuwa mwanamke ni mtu na siyo kitu. Hivyo basi akitoka nje ya ndoa au akikamatwa na mme wa mtu abebe gharama zote yeye na mgoni wake kama amefumaniwa basi asmdai mmewe mali amdai fidia mwanaume aliyefumaniwa naye kama amefumwa na mme wa mtu basi ndoa ikivunjika mwanamke amlipe fidia mwanaume aliyekamatwa naye. Hii ni kwa ugoni tuu. Kwa mambo mengine wagawane mali na mwenza wake hii itapunguza kasi ya kuvunjika ndoa.
 
Nyinyi wawili muishi km hakuna watu wengine wanaowatazama ndoa yenu.
 
Maisha ya sasa maigizo ni mengi sana. Mtu anaigiza kumpenda fulani sababu ya Pesa na gari. Mwanaume anamtamani mwanamke sababu ya uzuri na shape. Unadhani hao watu watavumiliana kweli? Kwa ufupi hapo hakuna upendo. Kwenye upendo kuna...
UPENDO= UVUMILIVU + KUSAMEHEANA (fanyeni hesabu hiyo wadau)
Kama sina upendo, hata ukinipigia simu usiku na shida zako, kwangu unanisumbua. Lakini kwenye upendo ukipiga simu usiku nimelala eti unanisalimia, kwangu ni faraja.
 
Back
Top Bottom