LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,890
Nauza kifaa kimoja kinaitwa nextbase dash cam ni camera inayofungwa ndani ya gari kwa ajili ya kumonitor nyendo za gari.
Unaweza kuona matukio ya ndani ya gari ukiwa Popote pale kupitia simu yako ya mkononi.
Kinaweza kukupa location ya gari yako Popote ilipo na kuona sura za wote waliomo ndani ya gari.
Unaibiwaje gari kizembe... Kwa kuwa na kifaa hiki kwa gharama ndogo unaokoa gari yako.
Gharama za kifaa ni Tshs 120,000/= tu.View attachment 1981946