Kifaa kipya

Hii zana ya kivita ni fake, ni photo shop kwani yaonekana dhahiri imeunganishwa kipande cha Boeing AH-64
Apache helicopter juu ya chassis ya kifaru, na kuweka turret za kifaru katika engine pods za Apache. Hatudanganyiki!!



=
 
 
Last edited by a moderator:
Askari Kanzu! Umekulia wapi? Hapa Bongo ukisema 'kifaa kipya' sisi wengine tunafikiria mwanamke mzuri aliyeumbika sana.
Mimi nilitarajia hivyo niliposoma title ya thread. La haula! Kumbe ni lidege la kivita unaliita kifaa kipya! Pamoja na hayo, je wakubaliana na maoni ya Mama Mdogo? Au utaalamu huo huna?
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa compliments, na nimeipenda hicho kibwagizo chako kutoka kwa Wanamtwara!!! Nilikuwa sijui kama kwetu Bongo ukisema 'kifaa kipya' watu inabidi fikira ya kwanza iwe ni mwanamke mzuri aliyeumbika sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…