Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

chumanil

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
121
Reaction score
73
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje kutumia ZOA lililo tokana na jasho lako.hivyo mnijuze"BIDHAA GANI ILIO BUNIWA NA MTAZANIA AMBAYO IKO,NA INATUMIKA DUNIANI KOTE?
Mana kira nikionacho,na kutumia ni asali ya ulaya.hua najiuriza sana juu ya hilo.je hatuna wavumbuzi?
Nawasikisha kwenu.
 
very unfortunate, hatunavyo. ila zamani nakumbuka hata baiskeli tu tulikuwa tunatengeneza, unakumbuka baiskeli za SWALA, radio za mkulima, baiskeli za Phoenix etc. hivi tuseme tumeshindwa hata kuunda baiskeli tu au tunakosa mitaji? matairi ya General tyre n.k
 
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje kutumia ZOA lililo tokana na jasho lako.hivyo mnijuze"BIDHAA GANI ILIO BUNIWA NA MTAZANIA AMBAYO IKO,NA INATUMIKA DUNIANI KOTE?
Mana kira nikionacho,na kutumia ni asali ya ulaya.hua najiuriza sana juu ya hilo.je hatuna wavumbuzi?
Nawasikisha kwenu.
Ujinga , unafiki, umbea , na uchawi
 
Soma vizuri ulichoandika, sasa kama kuandika tuu hali ndio hivyo unadhani tutazalisha nini chakutumika Duniani kote?. Jifunze kuandika kwanza huenda ukazalisha muandiko wakutumika Duniani kote.
NaFiKiri umeelewa!
 
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje kutumia ZOA lililo tokana na jasho lako.hivyo mnijuze"BIDHAA GANI ILIO BUNIWA NA MTAZANIA AMBAYO IKO,NA INATUMIKA DUNIANI KOTE?
Mana kira nikionacho,na kutumia ni asali ya ulaya.hua najiuriza sana juu ya hilo.je hatuna wavumbuzi?
Nawasikisha kwenu.
asali ya ulaya hahhahah asali ya tabora ni ugunduzi wetu
 
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje kutumia ZOA lililo tokana na jasho lako.hivyo mnijuze"BIDHAA GANI ILIO BUNIWA NA MTAZANIA AMBAYO IKO,NA INATUMIKA DUNIANI KOTE?
Mana kira nikionacho,na kutumia ni asali ya ulaya.hua najiuriza sana juu ya hilo.je hatuna wavumbuzi?
Nawasikisha kwenu.
Rudi shule, soma la kiswahili uwe unaingia kipindi iko tena wakati wa IMLA usikimbie.

Mnakera sana na maandiko yenu.!
 
Back
Top Bottom