Kifaa kinachotumika kuchora ramani ya dunia

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
358
Habari,

Nilikuwa nauliza mchoraji wa ramani ya dunia alitumia kifaa gani? na Wakati anachor ramani yeye alisimama wapi?.

Mwenye kujua naomba anijuze please
 
Habari,

Nilikuwa nauliza mchoraji wa ramani ya dunia alitumia kifaa gani? na Wakati anachor ramani yeye alisimama wapi?.

Mwenye kujua naomba anijuze please
Google Earth wanatumia satellite na sasa wako kwenye research Google Earth iwe live.
Mfano uko Google Samora Avenue Dar es Salaam Tanzania uone mambo live yanayotendeka muda huo huo
 
Kwanini unaamini alitumia kifaa? Na kwanini ufikiri kwamba kuna mahali alisimama?!
 
Labda alisimama kwenye Mlima Kilimanjaro au Everest
 
Kwani alietengeza saa kwa mara ya kwanza kabisa ilikuwa saa ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…