kifaa cha kukama wezi duniani cha zua mambo

kifaa cha kukama wezi duniani cha zua mambo

Kingdeeper

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
262
Reaction score
164
story ilikuwa hivi: kifaa cha kukamata wezi duniani kilitengenezwa uko japan.kikapelekwa china kika kamata wezi 50 ndani ya dk 5,kikapelekwa ghana ndan ya dk 10 kika kamata wezi 100,kikapelekwa urusi ndan ya dk 25 kika kamata wezi 340, kifaa kika letwa tanzania ndan ya dk 1 kifaa chenyewe kikaibwaaaaa!!! sasa kama wewe ni mwana hesabu tuambie kifaa kili kamata wezi wangapi tanzania.
 
Back
Top Bottom