Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
dyuu beii
dyuu beii
sasa hivi modem ni 25,000' wewe unasema nini?
Dah ebwana we kweli mpinga shetani!nenda kwenye settings: wireless and networks: tethering.& portable hotspots
inachukua sekunde tu.
hakuna haja tena ya modems au hiyo mifi
nenda kwenye settings: wireless and networks: tethering.& portable hotspots
inachukua sekunde tu.
hakuna haja tena ya modems au hiyo mifi
Bei yake kwa nje inakaribia dola 70 sasa piga mahesabu gharama za kusafirisha, ushuru n.k Unadhani tumepanga bei kubwa hapo?
Kwa leo USD 70 NI SAWA NA Tsh. 110706 tu. yani unauza 270000 kwa kisingizio cha ushuru na nauli? okay lakini ni too cost bora kununua online toka ebay au At&t.
Mimi nakusifu Young_master,wengi tunaokukandamiza maswali plus masimango,hatukuwahi hata kuelezea kuwa kuna kitu hiki au njia hizi zisemwazo.
Tuvumilie,iwe vipi umetufungua macho,jamani nyinyi mnaojua sana,mbona huwa hamyasemi mpaka muone kina YM wamesema ndio mnagawa hiyo elimu?
Cheers!
Mimi nilichokiona bongo huwa tunatafuta faida kubwa sana kwa bidhaa zetu...nadhani faida ya 10-20percent ni nzuri tu, lakini mara nyingi tunaenda mpaka 200 percent. Matokeo yake anakuja mwenye kutaka kufanya biashara anachota fedha.dyuu beii
Mimi nakusifu Young_master,wengi tunaokukandamiza maswali plus masimango,hatukuwahi hata kuelezea kuwa kuna kitu hiki au njia hizi zisemwazo.
Tuvumilie,iwe vipi umetufungua macho,jamani nyinyi mnaojua sana,mbona huwa hamyasemi mpaka muone kina YM wamesema ndio mnagawa hiyo elimu?
Cheers!
YEYOTE MWENYE NOKIA YENYE WIFI b/g and n anaweza kutumia simu yake kama access point kuna application inaitwa JOIKUSPOT ni nomaa inafanya kazi kama ya mifi alivyoeleza jamaa hapo juu unaweza ku access internet kwenye ipad,iphone,smartphone,laptop kwenye simu yako. Jinsi inavyofanya kazi inatumia internet ya simu yako kwa ku transmit wireless signals in short ni ya ukwelliiiiiii anayehiitaji ani PM.
View attachment 51574
mdau hapo mbona bora ninunue modem 25,000.
ukishusha bei niambie