Kidumu Chama Cha Mapinduzi.......!!!

Kisidumu na hakitaendelea kudumu na wenye wameshachoka. AMEN
 
Teh teh teh .... kuna jamaa kamavile Magufuli amebeba bonge ya kitofa anakata kona kwa speed kali
 
Hiki ni Chama Cha Majambazi na kinadhihirisha ujambazi wao
 
Aling'oka sultan wa Zanzibar sembuse ccm! Aling'oka kuku wa zabanga, Mobutu iwe ccm....time will tell
 
katika taasisi yoyote yenye watu wenye akili timamu kutofautiana kimaeazo ni jambo la kawaida.
Ishu sio kutofautiana embu angalia hiyo picha ya kwanza jamaa mikono yao imeelekea wapi,hapo walidhulumiana hapo kila mtu anataka mgao wake
 
na haya ni matukio machache yanayoweza kuonekana, bado hayo yasiyoonekana!

Hivi mtu hapa akisema "CCM Ilaaniwe" atakuwa anakosea?? Hebu angalia baadhi ya sehemu zilizokuwa highlighted katika hii picha ili ujue akili za hawa watu.

 

Nilipoona picha ya ghadhabu alonalo ustaadh hapo, na yule mwenye jiwe kubwa pembeni pale rohoni nikajiululiza, kweil ndio tumefika huku?! Muone pia jamaa mwenye bahasha anavyojiandaa kurusha jiwe?! Kweli tumekua maadui kiasi hiki?
Mungu atusaidie tu.
 
Zidumu propaganda chafu za Nahum Nnauye.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi! -- Duh, yaani Chama Cha Mapinduzi ni kidumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…