DON KILLUMINATI
Senior Member
- Jan 2, 2011
- 192
- 83
Hii ndio CCM inayopendwa na Watanzania!!!
Mmmm hata hizi picha zinaonyeshaHadi sasa Hakuna chama imara kama ccm
Mmmm hata hizi picha zinaonyesha
Duh! kikafie mbali kabisa![]()
![]()
![]()
Hii ndio CCM inayopendwa na Watanzania!!!
Umechukua mabaya ukayaweka hapo ili kujifurahisha, mbona mazuri huweki?
Ishu sio kutofautiana embu angalia hiyo picha ya kwanza jamaa mikono yao imeelekea wapi,hapo walidhulumiana hapo kila mtu anataka mgao wakekatika taasisi yoyote yenye watu wenye akili timamu kutofautiana kimaeazo ni jambo la kawaida.
Umechukua mabaya ukayaweka hapo ili kujifurahisha, mbona mazuri huweki?
na haya ni matukio machache yanayoweza kuonekana, bado hayo yasiyoonekana!
Hivi mtu hapa akisema "CCM Ilaaniwe" atakuwa anakosea?? Hebu angalia baadhi ya sehemu zilizokuwa highlighted katika hii picha ili ujue akili za hawa watu.
View attachment 85099
Umechukua mabaya ukayaweka hapo ili kujifurahisha, mbona mazuri huweki?