Kidumu Chama cha Mapinduzi

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Wakuu nimetafakari sana nikagundua lazima CCM iwepo na iwe imara itasaidia kupatia viongozi wa nchi Imara..

Tukiwa na CCM imara na upinzani imara nchi itaenda. Kwa hali iliyokuwepo hapo nyuma bila upinzani imara leo hii tusingekuwa na Ngosha.

Kwangu upinzani na CCM waendelee kuwepo, sasa tunahitaji chama kimoja imara chenye nguvu sawa na CCM


Wakenya wanahangaika sana kutokuwepo KANU imara..twende mbele na nyuma vyama vikongwe vina umuhimu wake.
 
Wakuu nimetafakali sana nikagundua lazma CCM iwepo na iwe imala itasaidia kupatia viongoz wa nchi Imara..

Tukiwa na CCM imala na upinzani imara nchi itaenda. Kwa hali iliyokuwepo hapo nyuma bila upinzani imara leo hii tusingekuwa na Ngosha.

Kwangu upinzani na CCM waendelee kuwepo, sasa tunahitaji chama kimoja imara chenye nguvu sawa na CCM


Wakenya wanahangaika sana kutokuwepo KANU imara..twende mbele na nyuma vyama vikongwe vina umhimu wake.
Ulikuwa na wazo la kutengeneza mada moja nzuri sana ya umuhimu wa kuwa na uwiano sahihi kwenye vyama vya siasa huku kukiwa na upinzani wenye nguvu kwa ajili ya kukipa changamoto chama tawala
Lakini nafikiri ulikuwa na haraka ya kupost au ulishindwa kuweka mawazo yako kwenye maandishi huku ukiwa na makosa mengi ya kiuandishi
 
Tunahitaji vyama vinavyofuata katiba zao. Mfano, katiba ya CCM ya mwaka 2012 imeeleza masharti ya kuwa mwanachama na kuendelea kuwa mwanachama. Sharti la sita ni lazima, kuwa na tabia nzuri, mwaminifu. Lakini je. Wanachama wangapi wamevunja Sharti hili Lakini bado ni Wanachama?
 
ukawa wapo busy wanaruka ruka tu, wale sio wapinzani halisi ni wapiga dili.
 
Tegemeo la ccm ni magufuli tu no more! Na ndio tuuuuu ya ccm, hiyo hainishawishi kuipenda ccm hata siku moja, sasahivi wana ccm wanaishi maisha ambayo hawakuyazoea sisi wapinzani ndio tu likiwa tunayapigania siku nyingi lakini hata hivyo bado magufuli hajafika.
 
ukawa wapo busy wanaruka ruka tu, wale sio wapinzani halisi ni wapiga dili.
Maneno ya Babu Duni Azam Tv yamenisikitisha sana.
Amethibitisha kuwa chama kikuu cha upinzani ni genge la 'kambale' na 'wapiga dili'
 
Back
Top Bottom