Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
-
- #21
Mwanamke mmoja baada ya mmewe kusafiri aliamua kuwaita mahawara wake wawili wa kiume! Basi vidume havikufanya hiyana vikatia timu; Ghafla bila kutegemea mume akarudi na ikabidi mwanaume mmoja ajifiche darini na mwingine chini ya uvungu! Mazungumzo kati ya mume na mkewe yalikuwa hivi:
Mme:Mke wangu kipenzi,nimekuletea zawadi toka safarini!
Mke:Aaaah...Asante sana mme wangu!!!!
Mme:Noooooooooo...usinishukuru mimi;bali mshukuru aliye juu{akimaanisha MUNGU}
Jamaa aliye juu ya dari ikabidi apige kelele:Aaaaaaahhhhhh sipo peke yangu,kuna mwingine yupo chini ya uvungu!!!
ningekuwa mwalim ningekupa 35/100 kwa utungaj wko
bonge1 la fumaniz
Duh! Haya bana!!Teh!Teh!
Na huko mbinguni lazima mume alimzabua makofi mkewe;Mungu akaamua kuwarushia jamaa duniani...kwa sasa nadhani ni Rejao$MS!!!!
duh! Haya bana!!
Kilichotokea nadhani mwanaume alizimia, wale jamaa wakakimbia...
Walipokimbia wote ndo nikaingia mimi
Inachekesha japokuwa ni ya kizamani sana.ningekuwa mwalim ningekupa 35/100 kwa utungaj wko
Hahahahaaaaaaa!!!!! Kisha mwanaume alipozinduka na kukuta mkewe
amekufa halafu wale jamaa hawapo naye akafa. Wakakutana mbinguni...
Walipokimbia wote ndo nikaingia mimi
Israel mtoa roho ana akili sana !
Imesimama mbaya in short niyaukweli
hivi we washawasha mkeo alishrudi,au bado amek- log off baadaya kukukuta ch***pi ya shoga yake?king majuto.Nalog off
hivi we washawasha mkeo alishrudi,au bado amek- log off baadaya kukukuta ch***pi ya shoga yake?