Kiduku mtaani kwetu jioni ya leo.................!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,811
15,403
IMGP1638.JPG
Alianza huyu
IMGP1636.JPG
Mara huyu naye akajiunga
IMGP1648.JPG
Ghafla dogo naye kaibuka
IMGP1649.JPG
Wee hatuchezi hivi bana, unaharibu.....!
IMGP1650.JPG
Oyaa toka huwezi kucheza
IMGP1652.JPG
Subirini niwaonyeshe Kiduku Orijino
IMGP1646.JPG
Hebu funua nione....!
IMGP1661.JPG
Ngojeni tupige picha ya ukumbusho
IMGP1664.JPG
Haya fotoa mzee kisha weka JF tuuze sura

Picha kwa hisani ya watu wa Tandale kwa Mkunduge
 
ummu kulthum huoni kaweka mpira kwapani picha ya pili kutoka mwisho, hicho ndicho alichoweka makalioni ili kunogesha utamu wa KIDUKu

apo shasha ebu aza naww kuserebuka mzee wa ma lovee........af nilikuwa sijui kama kaweka ball mtoto mpana huyu
 
Mtambuzi hizi picha zina copyright? manake naona umemuweka mwanangu na sijui ulimpiga lini? au wew ndo mpiga picha Willy ulitupiga piha uakasema mkanda umeharibika basi kumbe unataka uje uzitoe humu jf. hakyanani nakuchukulia rb
 
Last edited by a moderator:
Dah! kweli kizazi cha nyoka watoto wadogo wanajibinua kinoma.
 
Kumbe ni wengi tuliokuwa na obssession ya manyonyo while barely you're 5
 
Mtambuzi hizi picha zina copyright? manake naona umemuweka mwanangu na sijui ulimpiga lini? au wew ndo mpiga picha Willy ulitupiga piha uakasema mkanda umeharibika basi kumbe unataka uje uzitoe humu jf. hakyanani nakuchukulia rb
gfsonwin kumbe unaishi Tandale Kwa Mkunduge! Hizo nilizipiga juzi tu, na zile ambazo mkanda uliharibika ni za mwaka juzi.......!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin kumbe unaishi Tandale Kwa Mkunduge! Hizo nilizipiga juzi tu, na zile ambazo mkanda uliharibika ni za mwaka juzi.......!

duh! hapo mbona ndo nyumbani aisee, tena pale ulipokuta godoro na mito ya makochi imenikwa nje ndo penyewe. Nyuma ya kile choo cha mzee kambanyuma.
 
duh! hapo mbona ndo nyumbani aisee, tena pale ulipokuta godoro na mito ya makochi imenikwa nje ndo penyewe. Nyuma ya kile choo cha mzee kambanyuma.
gfsonwin ahaaaa sasa nimekujua kumbe wewe ni yule dada wa maarufu kwa kuchora PIKO.....!
Huyo Mzee Kambanyuma si yule ambaye mwaka jana alimcheza yule bintiye aitwae Fitina ambaye alikuja kuolewa na mtoto wa mzee Mambaligwa, aitwae Mshamu, yule kijana aliyekuwa mpiga ngoma maarufu wa mdundiko hapo mtaani..........

Leo nitapita hiyo mitaa, nitakujulia hali............................
 
Last edited by a moderator:
Watoto wazuri wanacheza kwa furaha. Ila hao wanaoanza kutunisha masa..ri kwa mpira wakikua watatafuta msaada wa mchina kuyakuza kikweli. Inabidi tuwakemee watoto mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom