jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 995 Feb 25, 2014 #21 hii avatar yako ni noma! hahahahahaha Kijana Juzi said: Hiki kinaitwa Kiduku Mbinuko. Click to expand...
hii avatar yako ni noma! hahahahahaha Kijana Juzi said: Hiki kinaitwa Kiduku Mbinuko. Click to expand...
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,444 Feb 25, 2014 #22 jamiif said: hii avatar yako ni noma! hahahahahaha Click to expand... Nilishajizeekea jamiif, ni nzuri au mbaya?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jamiif said: hii avatar yako ni noma! hahahahahaha Click to expand... Nilishajizeekea jamiif, ni nzuri au mbaya??
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Feb 25, 2014 #23 mh kazi ipo kwakweli
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Feb 25, 2014 #24 Mwanaume utanenguaje hadharani kwa kujibinua haya kila mtu na anachokipenda yangu macho
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Feb 25, 2014 #25 utafiti said: Mr Rocky kwani hunioni hapo na camera yangu? Ntuzu anajua kucheza Click to expand... Mhhh mi huo ugomvi na Ntuzu siutaki maana sitauweza na mwambie binti yako miss chagga aache mambo zake akalale kwanza anaumwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Mr Rocky kwani hunioni hapo na camera yangu? Ntuzu anajua kucheza Click to expand... Mhhh mi huo ugomvi na Ntuzu siutaki maana sitauweza na mwambie binti yako miss chagga aache mambo zake akalale kwanza anaumwa
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 25, 2014 #26 Mr Rocky said: Mhhh mi huo ugomvi na Ntuzu siutaki maana sitauweza na mwambie binti yako miss chagga aache mambo zake akalale kwanza anaumwa Click to expand... nalala huku namlinda baba yangu
Mr Rocky said: Mhhh mi huo ugomvi na Ntuzu siutaki maana sitauweza na mwambie binti yako miss chagga aache mambo zake akalale kwanza anaumwa Click to expand... nalala huku namlinda baba yangu
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,095 Feb 25, 2014 #27 ....halafu amefanana na jamaa wa kwenye profile picha yako Mr.Rocky:bolt:
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Feb 25, 2014 #28 Khaaaa mbona uto tutako kama ta naniii....
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Feb 25, 2014 #29 miss chagga said: nalala huku namlinda baba yangu Click to expand... baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa SNAP J said: ....halafu amefanana na jamaa wa kwenye profile picha yako Mr.Rocky:bolt: Click to expand... Wewe SNAP J unatafuta ugomvi wa ngumi sasa hapo aise ni mbaya sana Mr Rocky hawezi cheza hivyo bana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss chagga said: nalala huku namlinda baba yangu Click to expand... baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa SNAP J said: ....halafu amefanana na jamaa wa kwenye profile picha yako Mr.Rocky:bolt: Click to expand... Wewe SNAP J unatafuta ugomvi wa ngumi sasa hapo aise ni mbaya sana Mr Rocky hawezi cheza hivyo bana
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 25, 2014 #30 Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand...
Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand...
PAKAYA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 362 Reaction score 169 Feb 25, 2014 #31 theki said: hebu subiri kwanza niangalie tena hii mauno ina jinsi sio kiduku nachokijua mbona anayapiga macho hiyo nyonga. Click to expand... walah tena jamaa ni bwabwa kiduku gani no 7 ntumie no yake nilifanyie promo hilo punga
theki said: hebu subiri kwanza niangalie tena hii mauno ina jinsi sio kiduku nachokijua mbona anayapiga macho hiyo nyonga. Click to expand... walah tena jamaa ni bwabwa kiduku gani no 7 ntumie no yake nilifanyie promo hilo punga
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Feb 25, 2014 #32 miss chagga said: Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand... utafiti Amekudanganya yuko kwenye lile jukwaa ambalo kuingia mpaka upewe funguo na unaingia at your own risk Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss chagga said: Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand... utafiti Amekudanganya yuko kwenye lile jukwaa ambalo kuingia mpaka upewe funguo na unaingia at your own risk Click to expand...
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Feb 25, 2014 #33 Chachu Ombara said: Chezea mziki wewe? Ila nina mashaka na mauno ya huyu jamaa maana kabinuka alafu anaangalia mzigo wake. Click to expand... Anaangalia usalama maana itakuwa ni dance at your own risk.
Chachu Ombara said: Chezea mziki wewe? Ila nina mashaka na mauno ya huyu jamaa maana kabinuka alafu anaangalia mzigo wake. Click to expand... Anaangalia usalama maana itakuwa ni dance at your own risk.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 25, 2014 #34 Mr Rocky said: miss chagga said: utafiti Amekudanganya yuko kwenye lile jukwaa ambalo kuingia mpaka upewe funguo na unaingia at your own risk Click to expand... wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand...
Mr Rocky said: miss chagga said: utafiti Amekudanganya yuko kwenye lile jukwaa ambalo kuingia mpaka upewe funguo na unaingia at your own risk Click to expand... wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Feb 25, 2014 #35 miss chagga said: Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand... Mwanangu unaendeleaje? Wanakuumiza kichwa tu hao Click to expand...
miss chagga said: Mr Rocky said: baba yako utafiti halindiki huyo hebu muulize yuko wapi kwa sasa baba yupo kule kwenye picha Click to expand... Mwanangu unaendeleaje? Wanakuumiza kichwa tu hao Click to expand...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 25, 2014 #36 utafiti said: miss chagga said: Mwanangu unaendeleaje? Wanakuumiza kichwa tu hao Click to expand... wanasema umeenda kule kwenye tabia mbaya Click to expand...
utafiti said: miss chagga said: Mwanangu unaendeleaje? Wanakuumiza kichwa tu hao Click to expand... wanasema umeenda kule kwenye tabia mbaya Click to expand...
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Feb 25, 2014 #37 miss chagga said: Mr Rocky said: wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand... Jukwaa la mwisho kabisa humu mjengoni hebu liangalie limeandikwaje Click to expand...
miss chagga said: Mr Rocky said: wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand... Jukwaa la mwisho kabisa humu mjengoni hebu liangalie limeandikwaje Click to expand...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Feb 25, 2014 #38 miss chagga said: Mr Rocky said: wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand... Mwananagu umekunywa dawa? Click to expand...
miss chagga said: Mr Rocky said: wapi huko baba hayupo hapa niambie basi ni wapi? sitamwambia kama ni nwewe umeniambia Click to expand... Mwananagu umekunywa dawa? Click to expand...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 25, 2014 #39 Mr Rocky said: miss chagga said: Jukwaa la mwisho kabisa humu mjengoni hebu liangalie limeandikwaje Click to expand... unamsingizia baba yangu Click to expand...
Mr Rocky said: miss chagga said: Jukwaa la mwisho kabisa humu mjengoni hebu liangalie limeandikwaje Click to expand... unamsingizia baba yangu Click to expand...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Feb 25, 2014 #40 miss chagga said: utafiti said: wanasema umeenda kule kwenye tabia mbaya Click to expand... Nipo hapa mwanangu sijaenda me ata sipajui huko Click to expand...
miss chagga said: utafiti said: wanasema umeenda kule kwenye tabia mbaya Click to expand... Nipo hapa mwanangu sijaenda me ata sipajui huko Click to expand...