Amavubi hata hivi tunavyoviona kuwa ni vipya ni vya zamani kichizi.
Kuna jamaa yangu kanunu jeep wrangler mpya model ya 2012, nikamwambia hili gari ni jipya kwa mwaka wa kutengenezwa, lakini ni la zamani
Aaaaaaaaagh, Mwl. Baba V, yaani unakomea kusema hivyo tu? Toa Onyo bwana kama mwalimu wa watoto wetu, tena mkongwe kwa watovu wa nidhamu!
Hebu niambie akiingia ofisini mwako mtu wa namna hii halafu anasema ni mzazi wa mojawapo wa wanafunzi wako, utamsaidia shida yake tu au utampa na ushauri/utachukua hatua gani dhidi ya muonekano wake na madhara yake katika malezi ya watoto?
Mwl. gfsonwin, njoo huku umsaidie mwal. Mwenzako Baba V! Ahahahahaaaaa! Walimu nawapenda sana, dah!?
kashesho
Kwetu zamani sana wakati jua lilikuwa likipoteapotea njia (lilikuwa halijui njia, kuwa latikiwaikiwa kutoka mashariki kwenda magharibi) Bangi ilikuwa ikitumika kama dawa ya kurudishia ubikira kwa wasichana.