Mwambie watu wa 'malimali' tu wazima wa afya,tunamtakia kazi njema za ulipuaji wa makombora hayo na abarikiwe sana kwa kazi yake nzuri.
Hahah Nadhani mzee baba alikua anamaanisha huko mali sasa akawa hana uhakika ni mali au nchi nyingine za ukanda huo akaona tu isiwe inshu akajisemea tu 'malimali' hahah.Hahaha hivi hiyo mali mali mkuu alikuwa ana maanisha ndio nchi gani?
Hahah Nadhani mzee baba alikua anamaanisha huko mali sasa akawa hana uhakika ni mali au nchi nyingine za ukanda huo akaona tu isiwe inshu akajisemea tu 'malimali' hahah.