Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,079
Huu uzi umekosea njia
Mkuu umenichekesha sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dada wa kazi na majirani wamekazana kidudu mtu,hataki ninunue mboga za majani eti tutakufa,Jana nikanunua majani ya maboga,nikamwambia nipikie,yaunge na nazi,nikagonga na ugali na kasamaki kakukaanga,hadi sasa na type hapa JF na hata kizunguzungu sina,kesho usiku kisamvu na ubwabwa.
Kidudu mtu kama yupo mabwana afya wangepiga marufuku uuzaji wa mboga mboga za majani.
Nikiwauliza yukoje,ooh jirani alimuona,ooh kama popo,ooh kwenye cabbage, ooh kwenye kisamvu!!!
wanavyosema ni hatua mojawapo ya ukuaji wa mdudu kama kipepeo kwa hiyo hana shida yoyote cha kufanya ni kuosha mboga fresh tu
Mkuu kinachoitwa kidudu mtu ni 4th stage larva(kiwavi) au pupa(buu)stage wa kipepeo kitaalam anayeitwa "Spalgis epius." Kidudu mtu hana madhara yeyote.Huyo kipepeo anaitwa kwa lugha ya kingereza cha kawaida Apefly, jina ambalo linatokana na pupa au buu lake kufanana na sokwe.Hana madhara yeyote kama nilivyo tangulia kusema hapo awali,ila kama kawaida osha mboga zako halafu pika.Dada wa kazi na majirani wamekazana kidudu mtu,hataki ninunue mboga za majani eti tutakufa,Jana nikanunua majani ya maboga,nikamwambia nipikie,yaunge na nazi,nikagonga na ugali na kasamaki kakukaanga,hadi sasa na type hapa JF na hata kizunguzungu sina,kesho usiku kisamvu na ubwabwa.
Kidudu mtu kama yupo mabwana afya wangepiga marufuku uuzaji wa mboga mboga za majani.
Nikiwauliza yukoje,ooh jirani alimuona,ooh kama popo,ooh kwenye cabbage, ooh kwenye kisamvu!!!
Mkuu kinachoitwa kidudu mtu ni 4th stage larva(kiwavi) au pupa(buu)stage wa kipepeo kitaalam anayeitwa Spalgis epius.Hana madhara yeyote.Anaitwa kwa lugha ya kingereza cha kawaida Apefly, jina ambalo linatokana na pupa au buu lake kufanana na sokwe.Hana madhara yeyote,ila kama kawaida osha mboga zako halafu pika.Wadudu hawa wanapatikana sana Asia.
Uwe na amani mkuu,hawana madhara yeyote.Safisha ukuta wako vizuri tu usiwe na vumbi, kwa kuwa wanapenda sehemu zenye vumbi.Hapa nyumbani kwangu wamejazana tele hawa vidudu mtu. Nawaona tu ukutani