Inashangaza kidogo unapoona mtu anabadili maumbe na kuyafanya useful kwa lugha ya kizungu (matumizi mazuri).Huu kitaalamu ni ugonjwa na mtoto anapozaliwa na akawa ama amesababishiwa na wazazi au mmoja kati yao. Si kilema kama vilema vingine ila tu, ni kuwa ni kialama kidogo.
Binadamu anapopata alama hii tena akiwa mwanamke imetafutiwa tafsiri mbali mbali ni sawa na mwanamke akiwa na kishimo kidogo, shavuni lililoingia kidogo huitwa jina flani na kwa kweli mwanamke huonekana na mvuto tofauti na kijana wa kiume apatapo hali hii, haya yote ni maumbile tofauti na binadamu wengine.
Watu wengine wametumia hivyo vidoti na wamevuma sana, baada ya kutumia vitu vitatu alivyoumbwa navyo. Kidoti ambacho kinaonekana kwa ukubwa tofauti na wanawake na wanaume wengi wenye alama hii, kwa huyu binti hii alama ni kubwa kidogo. Kidoti inaweza ikawa au ikaonekana kama nick name(aka) yake.
Watu wamekuwa wakitumia kidoti hicho kama fursa badala ya kilema pia unaweza uakatumia kama alama au nembo, trademark. Wote wenye vidoti wanaweza wakatumia fursa hii kujiunga nao kwa kuwa wanahaki na vidoti vyao.
Asanteni kwa kusoma