SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Wana JF!
Mama yangu alidondoka na kuteguka mguu. Wakati akiendelea na matibabu alikandwa mguu na bahati mbaya ganda likatoka gotini na kufanya kidonda. Kila apatapo nafuu kufanya mazoezi, maji hutoka penye kidonda na kukitonesha.
Je tutumie tiba gani kukomesha maji yasitoke gotini?