Kidini, haikubaliki kumsimanga mgonjwa

Kidini, haikubaliki kumsimanga mgonjwa

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,066
Reaction score
2,496
Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa.

Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu.

Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
 
Mipasho band. Ndiyo maana kazungukwa na machawa. Kwakuwa alimsaidia, alitaka Lissu aimbe mapambio. Lakini kakutana na kisiki cha mpingo.
 
Back
Top Bottom