Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

Ila NECT wanajishushia thamani.
Inawezekanaje shule mtoto wa mwisho nakua na div 1 ya 9. Wakati enzi za 2012 div 1 ya 9 ilikua ya TO kwenye matokeo ya kwanza.

Hawa jamaa wanatumia siasa kuua elimu ya bongo.
 
Form four ya 2012 si ndo mligaiwa maks za burebure.
Ile nayo ujinga tu.
Form four ya kiume ni ile ya 2009
 
Wanamtandao kipindi hicho walimhujumu Kikwete na serikali ionekane haifai kila sehemu wakiandaa kuupa upinzani nchi 2015 kipindi hicho kila kona mtandao ulikuwa na timu yao ya hujuma
Fukin hell bro. Kila madhaifu ni kosa la mtu mwingine.
Hakuna mwana mtandao wala bibi ake.
Hayo ndio yalikuwa matokea halisi.. halafu necta ilikuwa more serious than before.
 
Nilimaliza form 4 mwaka 2012

Picha linaanza matokeo yametangazwa nipo kwa jamaa angu tunasonga ugali tule,,dah ugali haukupita maana washikaji wapo internet cafe wanasema oya tupe namba tukuangalizie ila dah watu wamefeli sana dah nikaona jau nikachuna pale tulienda wanafunzi 5 tuliotoka wote shule ya msingi na tukapata marafiki huko ila kati ya sisi watano ni mimi tu pekee nilitoboa(japo matokeo niliangalia baada ya siku 2) na washikaji sio kama walikua wabaya.

Nafika home nyumba nzima wamejaa wananisubiri aisee ,nikakaa kimya sikutaja mpaka nilipoona shwari mara tukasikia yanashihishwa upya.

Shikamoo Ndalichako ulitunyoosha.
Tuliteseka wote mkuu. Somo la Chemistry ulio ulikuwa moto wa kuotea mbali aisee.
 
Back
Top Bottom