Kidato cha Kwanza Aripoti Shule na Chopa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Hapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.
 
Halafuuuuuu ooooooohhhh magu kabana helaaaaa ni kwako tuuuuu syo kwa woteeee kudadekiiii!!!!!!
 
Ametishaaaa.. Tungeona na majengo ya hiyo shule ingekua vizuri sana
 
Ndo maana tunajenga aerodrome wananchi wafike kwa urahisi shuleni kwa chopa na ndege ndogo binafsi
 
Hapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.
Thanx
 
Bora wewe umeeleza mapema, maana huyu mwanzisha mada angeongeza hasira kwny hotuba ya shinyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…