Kidato cha kwanza 2011

Lapton2005

Member
Dec 20, 2010
76
0
"Wanafunzi darasa la saba 2010 wasiojua kusoma na kuandika, wamefaulu kujiunga kidato cha kwanza 2011 kwa asilimia zaidi". Haya ni maandalizi ya vibaraka au maprofesa katika TZ ya leo na ya kesho?
 
Lete mawazo ya solutions, ikisha haribika huna haja ya nani ali(haku)fanya nini bali tufanye nini ili hii hali isiendelee kuwepo.

Great thinkers do that.
 
si wote kuwa hawajui kusoma, na kama wasingejua kusoma wasingefaulu maana wasingeweza kusoma hata kujibu hayo maswali ya mitihani.
kwa hiyo walio faulu kwa ujumla wanajua walau kusoma kama hawakuchakachua huo mtihani.
Changamoto iliyopo kwao ni kama watapata walimu wazuri na wakutosha mashuleni kwao huko.
 
Back
Top Bottom