Kidadavuzi mpakato

mwaJ tatizo lake analeta ubishi hata kwenye masuala nyeti,
He he heeeeeeee! Tangazeni ndoa tu wapiga vigelegele tupo. Tatizo lako Bujibuji ukishauriwa vizuri we unaona unasimangwa.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ sidhani kama Bujibuji anao ujanja wa kutangaza ndoa humu
ameshapenda sana,
kuanza upya nako kazi,
labda atangaze ndoa na weye mwaya.

Ndio hapo sasa! On sasa anaishia kumuota Madame B! Akizindika ndotoni anaita wengine atangaze nao ndoa!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ nakumbuka yule aliyeimba ....mapenzi hakuna.......
umekaa roho juu juu leo Bujibuji anakuja na ton gozo lingine
tena la rafiki yako wa karibu, itakuumizaje.

Sasa kama ndio ulisha fall roho itakuumaje? Hebu fikiria mtu kishasahau kama aliwahi kusema anakupenda!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…