Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,929
- 1,172
Habari za muda wadau.
Kwa wale wenzangu wa kushisha (download) vitu mbalombali Kama movies, applications mbalimbali, novels, programs, n.k. Hasa kupitia site kubwa ya file sharing, Kickass.com ambayo unadownload kitu chochote bure, juzi tar 20 site hii ilifungiwa Na federal ya US ikidai kuwa ilikiuka DCMA aggreement Na Ku infring owner of content rights.
Leo nikiwa nataka Ku download movie series moja ya Lying game, page ikawa haifunguki, ikanilazimu kutaka kujua kulikoni page hii imegoma, nikaingia wikipedia Na kukutana Na hii taarifa ya kusikitisha.
K.A.T kiukweli ilikuwa Na mkombozi kwa mambo mengi, naamini wadau wanaoitumia wanaelewa.
Mmiliki wa KAT amekamatwa Poland, Ni kijana wa miaka 30 mtu wa Ukraine ambaye alikamatwa baada ya investigators kunasa IP address ya simu yake ambayo aliitumia hata kwenye facebook. Kijana huyu alitengeneza dola milioni 12 kwa mwaka kutokana Na matangazo thru kickass.
Jamani mwenye kufahamu bitTorrent site nyingine nzuri naomba muiweke hapa.