afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Feb 27, 2012 #21 libent said: Yaani najihisi empty Click to expand... Duhhhh .. Sijui nukugawie msongamano wa mawazo niloyo nayo .....
libent said: Yaani najihisi empty Click to expand... Duhhhh .. Sijui nukugawie msongamano wa mawazo niloyo nayo .....
libent JF-Expert Member Oct 29, 2011 382 84 Feb 27, 2012 Thread starter #22 afrodenzi said: Duhhhh .. Sijui nukugawie msongamano wa mawazo niloyo nayo ..... Click to expand... Mmh misongo mingine ni hatari bora nikabaki empty
afrodenzi said: Duhhhh .. Sijui nukugawie msongamano wa mawazo niloyo nayo ..... Click to expand... Mmh misongo mingine ni hatari bora nikabaki empty
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Feb 27, 2012 #23 libent said: Mmh misongo mingine ni hatari bora nikabaki empty Click to expand... Haya bana .. Swali moja tu .. Unaaishi Vipi bila mawazo?
libent said: Mmh misongo mingine ni hatari bora nikabaki empty Click to expand... Haya bana .. Swali moja tu .. Unaaishi Vipi bila mawazo?
libent JF-Expert Member Oct 29, 2011 382 84 Feb 27, 2012 Thread starter #24 afrodenzi said: Haya bana .. Swali moja tu .. Unaaishi Vipi bila mawazo? Click to expand... Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty.
afrodenzi said: Haya bana .. Swali moja tu .. Unaaishi Vipi bila mawazo? Click to expand... Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty.
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Feb 27, 2012 #25 libent said: Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty. Click to expand... Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa I mean negative thoughts .. Swali.. Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu ..
libent said: Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty. Click to expand... Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa I mean negative thoughts .. Swali.. Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu ..
Mtalingolo JF-Expert Member Aug 4, 2011 2,181 409 Feb 27, 2012 #26 afrodenzi said: Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa I mean negative thoughts .. Swali.. Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu .. Click to expand... Kwakuwa anamawazo ya kuleta magonjwa, atakwambia anapenda 1. Maralia tena sugu 2. Typhod 3. Syphilis... 4. ... 5. ...
afrodenzi said: Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa I mean negative thoughts .. Swali.. Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu .. Click to expand... Kwakuwa anamawazo ya kuleta magonjwa, atakwambia anapenda 1. Maralia tena sugu 2. Typhod 3. Syphilis... 4. ... 5. ...