Kichwa na mwili kuuma

Kichwa na mwili kuuma

Joined
Dec 27, 2014
Posts
38
Reaction score
3
habarini za saizi wapendwa jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku do ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu mana naona ni mapema sana wenzangu mnao elewa mnisaidie, heshima kwenu.
 
Ujauzito hapana
Labda ume do kwa muda mrefu sana
Ku do nako kunachosha
 
habarini za saizi wapendwa jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku do ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu mana naona ni mapema sana wenzangu mnao elewa mnisaidie, heshima kwenu.
We wakike au kiume???
 
Kutokufanya mara kwa mara. Unajua hilo tendo ni mazoezi tosha..
 
Wenzako wanapogegedwa wanakuwa wepesi wenye changamko, labda kwako afya yako haipo vizur au hufanyi sexy mara kwa mara..
 
Mshirikishe vizuri aliyeku-do maana kabla ya ku-do hukutuuliza swali.
 
Back
Top Bottom