Kichwa chini Miguu juu...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
kichwa chini miguu juu.jpg
unaweza hiyo sarakasi??
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    43.3 KB · Views: 65
mshikaji ana miguu kama fito...kilichoharibu hapo ni hicho kichwa kashindwa jinsi ya kukificha
 
Hapo napo kuna salakasi gani? Mbona mi naona jamaa kasimama wima tu ingawa kavaa bukta kichwani, na sweta miguuni, sanasana atakuwa na matatizo ya kusahau pengine!
 
Back
Top Bottom