Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Usipende kukaa pekee yako, changamana.Naombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata sielewi kuna nini kichwani hii hali utokea sana usiku wa kupumzika yani sielewi ndani ya kichwa ntakuwa na shida gani
Saizi yamepungua
Tafuta kitu unachokipenda kufanya fanya kwa sanaNaombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata sielewi kuna nini kichwani hii hali utokea sana usiku wa kupumzika yani sielewi ndani ya kichwa ntakuwa na shida gani
Angalia movie sana muda ukiwa mpweke, usikubali mawazo yakutawale,Saizi yamepungua
Anarudiarudia ku post kitu hichi hichi huyu atajuliua sasa hiviMkuu kila nyuzi unafungua wewe japo tunafanana tatizo. Nilishakwambia hilo tatizo litaisha lenyewe
Kweli mkuu nahisi ni stress tu zinamchanganya.japo ndiyo h pylori anasababisha hvyo lakini kwangu liliondoka lenyewe.