Kichwa cha kila mwanamume ni Kristo na kichwa cha mwanamke ni mwanamume

Mafikizolo

JF-Expert Member
May 8, 2014
3,487
1,621
Lakini nataka mjue kua kichwa cha kila mwanamume ni Kristo na kichwa cha mwanamke ni mwanamume na kichwa cha Kristo ni Mungu, kila mwanamume asalipo au anapohutubu nae amefunikwa kichwa, yuaibisha kichwa chake bali kila mwanamke asalipo au anapohutubu bila kufunika kichwa yuaibisha kichwa chake kwa maana ni sawa sawa na yule aliyenyolewa, maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele, au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa na afunikwe kwa maana haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa kwa sababu yeye ni mfano wa utukufu wa Mungu lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume, maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume. Kwa hiyo imempasa mwanamke awe na dalili ya kumilikiwa kichwani maana kwa ajili ya Malaika.

Walakini si mwanamke pasipo mwanamume wala mwanamume pasipo mwanamke, maana mwanamke alitoka kitaka mwanamume vile vile mwanamume naye huzaliwa na mwanamke na vitu vyote asili yake katoka kwa Mungu.
Je, hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake.
 
Back
Top Bottom