Kichwa cha dushe kinawasha

Status
Not open for further replies.
Mkuu hiyo ni kwel dushe linawasha ndani kwa ndani then mbele lazima lina maji maji haliwi kazu, next step ni usaa
Dushe langu linawasha tu kwa kichwa lipo kavuuuuu
 
Wakuu leo nimeamka kwenda kukojoa naona kichwa cha dushe (kimlija kwa ndani) kinawasha,

Yaani muwasho flani hivi ambao mpaka sasa naona unanisumbua sumbua hapo nipo tu nabinya binya dushe,

Hivi tatizo linaweza kuwa nini wakuu.
itakuwa you tea i kama siyo dalili ya kisonono na fungus.kwa maelezo zaidi kamwone dakitari
 
Inabidi wenye JF..wawe wanakulipa maana kila Sikh unaleta mada japo za ovyoovyo
 
Dalili mbaya hiyo mkuu kifuatacho utawashwa na huko ktk tundu ya haja.. Nenda hospital ukapigwe bomba inawezekana unafukua mitaro
 
Dalili mbaya hiyo mkuu kifuatacho utawashwa na huko ktk tundu ya haja.. Nenda hospital ukapigwe bomba inawezekana unafukua mitaro
Sijawahi kufukua mtaro mkuu tangu nazaliwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…