Endekeza zinaa tu jibu utalipata.Wakuu leo nimeamka kwenda kukojoa naona kichwa cha dushe (kimlija kwa ndani) kinawasha,
Yaani muwasho flani hivi ambao mpaka sasa naona unanisumbua sumbua hapo nipo tu nabinya binya dushe,
Hivi tatizo linaweza kuwa nini wakuu.
Anawalisha wateja uchafuWewe ndo unauza chips? Saivi unabinya binya dushe?
Ok kanunue Amoxicillin full dozi kunywa mbili mara 3, itakusaidiaDr mtihani mkuu niambie tu dawa nikanunue