stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Feb 1, 2012 #1 je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka? au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke? Utajisikiaje?
je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka? au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke? Utajisikiaje?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,146 Feb 2, 2012 #2 stevoh said: je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka? au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke? Utajisikiaje? Click to expand... hiki nacho ni kichekesho?
stevoh said: je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka? au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke? Utajisikiaje? Click to expand... hiki nacho ni kichekesho?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Feb 2, 2012 #3 Unajua kuna wakati kinakuwa ni kichekesho ila kwa kuwa watu wako busy na mawazo yao hayako hapo kwa wakati huo waweza wasicheke ingawa baadae wakitulia wanaweza cheka sana so inawezekana ikatokea
Unajua kuna wakati kinakuwa ni kichekesho ila kwa kuwa watu wako busy na mawazo yao hayako hapo kwa wakati huo waweza wasicheke ingawa baadae wakitulia wanaweza cheka sana so inawezekana ikatokea