Kichekesho, Retaarh

Kichekesho, Retaarh

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba. Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibiki ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule ugonjwa kwa mtu mwingine na mtu huyo atakufa papo hapo... jiran yangu akawa amekubali ...

Mganga akamwambia ukimwona mtu anaingia nyumban mwako sema "Taarh" na ugonjwa utamfuata naye atakufa hapo hapo.. Ila kama akijibu "Retaarh" basi ugonjwa utakurudia nawe utakufa ...jiran yangu akakubali.. bas mganga akaondoka haraka haraka na kusahau malipo yake.. alipofika mbele kidogo akakumbuka amesahau pesa yake hivyo akaamua kurudi ili akachukue malipo yake .. ile anaingia tu jiran akasema "Taarh" mganga akajibu "Retaarh" ...jiran naye akaitikia "ReRetaaarh" unaambiwa hapa tulipo tokea jana asubuh wanajibizana Rerererererererererererererereretaatatatatatarrrrhhhsa sijui nani atakubali kufa kwa niaba ya mwenzie..
 
hahahahahahahahahahah haki mmoja atachoka tu na kujisahau
nimecheka sana jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom