Hapo tatizo either ni udhaifu wa Mitambo na viongozi wake au la kubwa zaidi bajeti waliopitishiwa mwaka jana haijawafikia kuanza kurekebisha mambo yao, au la fedha ilipitishwa tu kule kwamba tunaenda kununua mitambo mpya ili bunge liwaidhinishie lakini ukweli ni Per Diems za vikao vya wanaTBC,na kubwa zaidi nani anatoa hoja binafsi leo bungeni ?.....Mungu tukumbuke watanzania.....Imformation is POWER,so kinyume cha hapo ni kuzika watu na wanatuzika kweli,watu wa Muheza TV zimekuwa mapambo tu kama hauna deki ukandalia mikanda ndo basi tena sasa sijui tunaenda mbele au tunarudi nyuma,mamayangu nchi yangu jamani upole huu nani katupatia tunateseka jamani....