Kichef-chefu

Kichef-chefu

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Punde hivi nimetoka kwenye duka linalouuza bidhaa za ndani.

Mazungumzo yangu na muuzaji ;-
Mimi : Nahitaji jiko dogodogo la gas.
Muuza : "Blaza majiko yapo mazuli , tena matilio tulizonazo ni nzuli sana, na tunatoa galantii ya miezi mi3.
Na kama wewe ni muajiliwa na unataka kutulipa kwa instumento unaweza tuletea visibitisho vyako inakubalika. (mwisho nukuu)
Aaaghr !
Kaniacha na kichefuchefu naombeni mwenye ndimu anipe nilambe!
 

aaaaah kumbe ni hiyo
mi nikajua bibie @ynna
kitu tayari,kichef chef kimehamia
kwako shem kumbe ni muuzaji na L zake hahahahaa!!
 
Ndo kizazi chetu kijacho,
just imagine ndo mwalimu anayemfundisha
kijana wako
hapo unategemea kupata nini.
 

aaaaah kumbe ni hiyo
mi nikajua bibie @ynna
kitu tayari,kichef chef kimehamia
kwako shem kumbe ni muuzaji na L zake hahahahaa!!

Afu shem! Umenikumbusha! Hivi nawewe nini mbaya? Masiku yote haya!
Sijakusiakiaga unatuulizia udongopemba! Au Loya usingizi mwingi ?
 
Shem nlipata mshtuko wenye raha ndani yake nkajua dada yangu anatuongezea namba.. Ila anyway me mwenyewe mtu anaeongea hivyo ananisumbua
 
Shem nlipata mshtuko wenye raha ndani yake nkajua dada yangu anatuongezea namba.. Ila anyway me mwenyewe mtu anaeongea hivyo ananisumbua

Daah shem!
Okey dhanio lako halitaanguka chini, now nitakua naisimamia baiskeli hata mteremkoni !
 
Afu shem! Umenikumbusha! Hivi nawewe nini mbaya? Masiku yote haya!
Sijakusiakiaga unatuulizia udongopemba! Au Loya usingizi mwingi ?

aaaaaaah unacheza na nduguyo nini?
kashatupiamo kitu,nawdays ni kutema mate tu
cna ujanja hahahaaa!!
 
Aisee kweli ni kichefchefu...... Ukiipata ndimu nipe nami niilambe aaagggrrrrrrr!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom