Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Punde hivi nimetoka kwenye duka linalouuza bidhaa za ndani.
Mazungumzo yangu na muuzaji ;-
Mimi : Nahitaji jiko dogodogo la gas.
Muuza : "Blaza majiko yapo mazuli , tena matilio tulizonazo ni nzuli sana, na tunatoa galantii ya miezi mi3.
Na kama wewe ni muajiliwa na unataka kutulipa kwa instumento unaweza tuletea visibitisho vyako inakubalika. (mwisho nukuu)
Aaaghr !
Kaniacha na kichefuchefu naombeni mwenye ndimu anipe nilambe!