Kelvin bryant
Member
- Jun 30, 2012
- 9
- 0
Kichaa mmoja kakutana na jamaa flan maongez yakawa hivi:
jamaa:we si kichaa?
Kichaa:ndio,kwan vp?
Jamaa:si unatakiwa kuwa milembe?
Kichaa:ndio niko milembe
jamaa:sasa mbona uko huku?
Kichaa:niko day sio boarding.
jamaa:we si kichaa?
Kichaa:ndio,kwan vp?
Jamaa:si unatakiwa kuwa milembe?
Kichaa:ndio niko milembe
jamaa:sasa mbona uko huku?
Kichaa:niko day sio boarding.