Nini kilifuatia,hawamtia nguvuni.R.I.P WANAFUNZI WOTE WALIO YAAGA MAISHA KTK TUKIO HILO.
kaka ukisubiri kila kitu mpaka ifanye serikali nafikiri kutakuwa hakuna sababu ya kila binadamu kuwa na ubongo wake.huu ni mgawanyo mbaya wa ile keki yetu ya taifa lait kama kila mtu angepata stahiki hadi hawa ndugu zetu vichaa nao wangeifadhiwa mahala pazuri na huduma zinazowastahili