Kibweka

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Wana JF naomba kuuliza na labda kuna watu wengine pia wangependa kujua.
Mkuu kibweka ni mtu wa namna gani?
1:Ni mpole sana au mkali.
2:Ni mtundu au mkimya.
3:Ni mcheshi au mkimya.
4:NI mpweke au ni mtu wa watu.
5:Ni mtu wa totos au la.

Simuongelei kwa mabaya na asinichulie ubaya.Ni post zake zinafurahisha na zaina moja.
Mkuu kibweka tunasubiri picha za lala salama.Asante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…