Kibwana Dachi amchana LIVE Wasira


....Chuki binafsi... kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo... lakini sio kila mawazo yanayaotolewa kwa uhuru huo yakakubalika na wengine ... kwa sababu hata uwezo wa kufikiri binadamu wanatofautiana!!!!!
 

Kwahiyo unadhani wewe ndo unaweza kutudanganya kwamba Kibwana Dachi katudanganya? wala hatudanganyiki, na ubongo wetu siyo wa mende!
 
Dr Slaa aliingia kkt siasa rasmi mwaka 1995, Chadema haikuwepo karatu, utazungumzia chadema isiyokuwepo kivipi? Yeye ndo kapeleka chadema karatu. You should get this right.

Acha longo longo Benaire tuambie Dr Slaa alikuwa anaisemaje CHADEMA!!
 
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi ......
He! Kibwana Dachi amekuwa nguli!? Ama kweli baniani mbaya...
 

Hongera sana Dachi, na wakikukamata kukung'oa meno, kucha, nywele, macho tumeshajua ni akina nani? Wanajidai eti kupakazia ule upande mwingine!! Wakibanwa wanatukana na kufukuza watu.
 

Acha uongo mkuu, uasi unachochewa na vilaza kama akina Wasira!! Alikwenda MZA akashindwa kusolve mgogoro wa kuchinja na hatimaye DAMU YA MCHUNGAJI ikamwagika Bueresere leo unasingizia Waandishi wa Habari? Shame on YOU!!
 
Dr.Slaa alikuwa anaisemaje CHADEMA wakati yuko CCM???

Nina hakika Dr. Slaa hakupata nafasi ya kuisema CHADEMA, kwa kumbukumbu zangu (niko tayari kusahihishwa) uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini uliofanyika 1995 Dr. Slaa alihamia CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni ndani ya CCM baada ya kutoridhika na matokeo yaliyompitisha mwenzake ambaye sikumbuki ni nani kwani hakupata tena nafasi ya kuwa mbunge. Tangu wakati huo Dr. Slaa aliendelea kuwa mbunge wa Karatu hadi alipoacha na kugombea urais mwaka 2010. Kwa ufupi ni vigumu kupata rekodi zake dhidi ya CHADEMA au upinzani kwa ujumla. Tuendelee!
 
Kwa kweli Magic fm nawapa pongezi sana wanachambua mambo kisomi sana...
Hata mm nimemsikia Kibwana Dachi leo asubuhi..Kweli amemchana live Wassira bila chenga..
Ahsante kibwana Dachi..
 
Kama huna akili kama za Wassira basi una akili kama za BABOON!!

Du...e bwama ee. Una point mwanangu! Ha ha ha. af kama nimeona umejipa jina la Kiebrania vile. Kwa hiyo wewe ni Mosad eti. Hebu nifanyie tafsiri hapa basi, tuone kama wewe Mosad Kweli. Haya, hii hapa ni nini Mosad Uchwara wewe: אתה מאוד טיפש אכן
 
Kibwana chenu haya shangilieni watumwa wa chadema maake wasira akiguswa mnashingilia maake WASIRA ni kiboko chenu CHADEMA mwaka mtakoma

Tunachosubiri ni CHADEMA ishike dola ili Wassira arudishwe ng'ombe kwa ajili ya kuliongezea Taifa kipato kupitia utalii.
 

Pumbavu sana
 
ni kiongozi gani ambaye hakupitia ccm hata hao miungu mtu akina slaa, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.

wamepita lakini hawakurudi, subiri wakirudi useme. Na bado hata wakirudi itabidi uwaangalie watakavyo behave ndio useme, wakirudi wakawa wapole hutakuwa na haki ya kuwacriticize kwa maana ya kuwahukumu. Utalinganisha maneno yao wapoondoka na waliporudi. Huyu wasira anaongea kama ambae hajawahi kuondoka ccm. Sawasawa na mme/mke aliyemsaliti mwenzie na akafumaniwa, hatakuwa na guts za kukandia mzinzi, akifanya hivyo ina maana kwake kasahau ya kwake?
 

Unasema Wasira kalifanyia taifa mengi? Yapi? Mjini Bunda anakotoka pamemshinda. Ukitaka ku-prove, fika hapo kama hujaogea majia ya chumvi mpaka upauke!
 

dah huyu baba akiwa rais sjui picha yake itawekwaje kwenye ofisi za serikali
 

Kwani wasira ni nani na amelifanyia nini taifa hili bingwa wa kuhama vyama km nini kutafuta mlo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…