Kibuyu cha babu

Tobaaaaaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji143] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Yeleuuuuuwi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Busha linatibika aende tu hospital watoe maji atarudi mzima wala halazwi huyo
 
Hii ni Busha/Ngiri Maji Dr Mwele Malecela alipiga sana darasa ili wenye mabusha wakafanyiwe upasuaji. Huu ugonjwa una tibika.
Nasikia wengine hivi vibuyu huwa Mali, eti kuna vitu huwa wanahifadhi mule
 
Nasikia wengine hivi vibuyu huwa Mali, eti kuna vitu huwa wanahifadhi mule
Pwani yanauzwa hayo mabusha, ukiwa nalo unaitwa mwinyi, hata ubalozi wa nyumba kumi unapewa. kunamzee alikuwa na busha lake, likaibwa kwenye daladala ilikuwa patashika nguo kuchanika. mpaka akarudishiwa ndo amani ikaja, alipoteza muda wa abiria karibu masaa mawili.
 
Ha haaaaaa

Nimecheka sana,

Kuna Katibu wa uvccm mwaka juzi alipelekwa Pemba, kuja rudi huku karudi na kibuyu na kupandishwa cheo kabisa, watu wanahisi huenda hicho kibuyu kina siri ya cheo chake kipya
 
Ukipata supu ya hayo madude unaweza kusahau kula nyama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh! Yani korodani Na udogo huu linaweza fika ukubwa huo, kweli kuna magonjwa duniani balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…