amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
hahahah amu bana...
mbona hujajibu ni memba humu siyo haijui hata jf afu kibuti anapewa humu.
Vipi na wewe maumivu yanapungua au??
hahahah amu bana...
sasa na wewe utakuwa una mapungufu mtoto wa kiume afu boyfriend utakubalije kupewa singi??
Amu hiyo nilishuhudia primary school mtu kapigwa kibuti halafu singi juu. Umri huu bouncer kama mimi huyo mwanamke atoe wapi jeuri ya kunisogelea, masihara.
eti ulimfumania??ee embu tupe mkanda mzima niwe wa kwanza kujua kabla Heaven on earth hajainyaka hii
hahaa wakati niko hapa nafatilia kwa makini kila kinachoendelea.......
nimechoka kuona muhtasari tu nahitaji habari kamil
Ndio unampa majibu yule mwengine alotoa kibuti cha asubuhi asubuhi nini:smile-big:j3 ma fumanizi ya wiki end