Kibuti kimeback fire... Nacheka kama vile mazuri

Kaza pini, kaza nati, kaza vyuma mpaka vivunjike!! Haiwezekani mtu akuchukulie for grated,,, ukiigiza kiburi wenzako walio zaliwa nacho watakufunza,,,,,

"Mapenzi ni kama daladala, abiria unapo amka na kutoka nje ujue kuna wenzako watakalia siti uliokua imekalia"

Safi sana mkuu, yan agizia kinywaji chochote hapo ulipo utalipa mwenyewe maana haiwezekani mtu akuigizie machozi, hajui kua machozi hata kwenye bongo muvi wanayatoa waigizaji au!!

Piga chini, huyo hana lolote labdatuu yeye kakuona shamba la bibi

πMwanaume wa mkoani at work√√

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio fan wa revenge.. lakin huyu dada anaitaji adhab kali zaidi. Why? Sabab kwanza ni malaya. Anaenda ruka ruka huko mambo yakibuma anarudi kwa msela.
Huyo manzi amepata alichokitaka..tena jamaa amelegeza sana.
Anatakiwa akaze mpaka vyuma vishikamane.. demu anakuchezea akili kwenye awamya mzee magu shit.
Akisusa mwache.. kwa hali ya sasa lazima arudi mwenyewe.
Kaza pini, kaza nati, kaza vyuma mpaka vivunjike!! Haiwezekani mtu akuchukulie for grated,,, ukiigiza kiburi wenzako walio zaliwa nacho watakufunza,,,,,

"Mapenzi ni kama daladala, abiria unapo amka na kutoka nje ujue kuna wenzako watakalia siti uliokua imekalia"

Safi sana mkuu, yan agizia kinywaji chochote hapo ulipo utalipa mwenyewe maana haiwezekani mtu akuigizie machozi, hajui kua machozi hata kwenye bongo muvi wanayatoa waigizaji au!!

Piga chini, huyo hana lolote labdatuu yeye kakuona shamba la bibi

πMwanaume wa mkoani at work√√

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio fan wa revenge.. lakin huyu dada anaitaji adhab kali zaidi. Why? Sabab kwanza ni malaya. Anaenda ruka ruka huko mambo yakibuma anarudi kwa msela.
Huyo manzi amepata alichokitaka..tena jamaa amelegeza sana.
Anatakiwa akaze mpaka vyuma vishikamane.. demu anakuchezea akili kwenye awamya mzee magu shit.
Akisusa mwache.. kwa hali ya sasa lazima arudi mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa naona kama umenielewa,

Mkuu jambo nihiliiii, ujue kunawatu wengine wana mioyo stahimilivu sana sasa mtu unamkaribishaje mnafiki kwako/ unamsamehe vipi mwenye dharau, kiburi, msaliti, roho mbaya kwako!!! Yaan huyo bila kupepesa macho ni kumchana kuwa sikutaki na sikuhitaji tena!! Yaan mtu kasha zalishwa, et bado nmpe nafasi for what then!!!

Jamaa amwambie afate maisha yake sio vinginevyo.. Kuna watu wengine hua tuna huruma kwa mambo mengine ila sio kwenye mapenzi, yaan nirisk afyayangu kwaajili ya kutotumia akilii!!! aya bna tuna utofauti kwenye maamzi naona .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume zama zetu hazipiti bana tupo tu. Na tunabakiaga hivi hivi had tunakufa.


Ila daaah yaani akishindwa uko anakutafuta bogus lake uko wapi...

troublemaker 2019. all right received.
Hahah kamfanya jamaa hema. Yakitokea maafa analitafuta limfae! Mambo yakiwa mstari analipiga kiberiti. Sema safi huyo manzi ni mkichaa!!!
 
Kuna misemo mingi sana ambayo wahenga walituachia, laiti tungeifanyia kazi maisha yangekuwa poa kabisa aisee. Ila binadamu wengine wana masikio yaliyozibwa pamba, macho yana upofu na mwishowe ni ajali ya maisha. Mfano,
  1. Usinyee kambi.
  2. Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
  3. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.
Sasa kuna bidada ananisumbua sana, na mimi nimeamua liwalo na liwe. Tulianza mahaba yetu miaka ya 2013 mpaka 2014. Tukaachana 2015 kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa kila mmoja wetu. Tukaja kuonana tena 2017. Hapo kati tulipokuwa mbali mbali mwenzangu akanijulisha kuwa kapata bwana wa kumuoa, off course alinicheat kuwa ameolewa, kumbe walikamatana tu wakaanza kuishi kinyumba. Walivyoanza walikutana na jamaa kwenye basi wakiwa safarini, wakafahamiana, wakapeana namba mambo yakanoga. Jamaa ni mfanyabiashara na ana pochi nene usiombe. Mara paap, jamaa akaja kumpangishia nyumba Dar. Bidada akajifungua mtoto wa kiume 2016. Kipindi hicho binti alikuwa na nyodo kweli hata tukiwasiliana dharau si dharau basi ananijibu kama hanijui vile.

Mwaka 2017 mwishoni hivi, nikaona bidada anaanza mawasiliano na mimi mpaka nikawa nashtuka kulikoni? Kumbe buana alikuja kugundua jamaa ana familia, mke na watoto wanne mambo yakawa fayaaaaaaaaaa. Pakawa hapakaliki wala hapatoshi. Kama haikutosha akaja kugundua jamaa anadate na wanawake wengine wawili, mmoja ni askari polisi. Jeuri ya hela buana, acha tuu. wakatifuana sana mpaka binti akaondoka kwa hasira akaenda kupanga chumba mtaani ili mradi aachane na jamaa. Kipindi hiki ndo alikuja kurudisha majeshi kwangu. akanieleza yote yaliyomsibu mpaka kuamua kuachana na huyo mwanaume. Nikasema poa ila tukacheki afya kwanza, haikuwa tatizo mambo yakawa poa. Ila moyoni mwangu nilijua sitakiwi kuingia mazima mazima kwa single mothers hawaeleweki, pia status yake na huyo aliyezaa naye kumwamini maelezo yake siyo kirahisi kivile, may be wanaweza kurudiana nitajuaje. kwa hiyo niliamua kumpenda kwa akili zaidi kuliko moyo.

Mwishoni mwa mwaka jana 2018, December akaniambia anaacha kazi ya kufundisha maana shule aliyokuwa anafanyia kazi hawalipi mishahara kwa wakati na tena ni midogo sana. Akasema baba yake atampa mtaji wa milioni 7 akafanye biashara, basi akawa ananioma mawazo biashara gani nzuri afanye

Wakati hayo yakiendelea nikalogwa na nani sijui nikaishika simu yake, nikakuta anadate na mwanaume mwingine yaani mambo moto moto. Kitendo cha mimi kuhoji huyu ni nani ikawa kosa, akawa mbogo usipime. Nikasema ok, yaishe. Mapenzi yakapungua kidogo. Baba yake alivyopokea penshen january mwishoni, huyu mrembo akafanya mambo yake kimya kimya, akakata mawasiliano na mimi. Akahama pale alipokuwa anaishi, akaenda kufungua kibanda cha m pesa, tigo pesa na kuuza maji na soda sehemu nyingine. Nikimpigia simu hapokei, nikituma sms hajibu, mara moja moja akijibu anatuma sms fupi sana "achana na mimi" Nikasema poa.

Sasa Juzi kati nikashangaa anaanza tena kunitafuta tena kwa staha adabu na heshima, anatuma sms za mahaba uuuuh. Nikaona isiwe tabu, nikawa nascreenshot zile chats zake za kuniambia tuachane, namtumia. alafu nakula kimya. Hivi majuzi alinitafuta sana nikapokea, daaah tuliongea, akanibembeleza, akaniomba msamaha mpaka alilia sana Nilimwambia nimekusamehe ila najua uko vizuri huhitaji tena msaada wangu maana una pesa zako, alafu una mtu wako mimi sina thamani yoyote tena. If you make me a spare tyre, i make you an emerdency door. Hiyo sms ilimuuma sana, akapiga tena simu alilia weeeeee, nikamjibu in short, nimekusamehe, relax, and goodbye. Nikakata simu.
Juzi ijumaa akanibembeleza sana aje kwangu leo nikamwambia sawa karibu, akaniambia hana nauli nimpromise nitampa nauli ya kuja na kurudi nikasema poa. Sasa leo asubuhi sijapokea simu yake nilijua tu ataniambia niko njiani nakuja. Baadaye kidogo akanitumia sms "niko getini" nikamwambia nimesafiri kwenda bagamoyo nitarudi usiku. Ukweli niko getoni kwangu nakula bata. Pale getini niliwaelekeza walinzi kuwa huyu mtu asije akaingia humu ndani, mwambieni kiungomchezeshaji amesafiri, alitoka na gari asubihi na alikuwa amebeba sanduku.

Kilichofuata nilitumiwa sms ya matusi ya aina yake.
Nikawacheki walinzi baadaye wakaniambia wewe mwanaume mkatili sana. Mtoto wa watu anaupigia simu hata hupokei zaidi ya mara kumi. Mpaka ameshindwa kujizua mpaka amelia machozi hadharani amekukosea nini? Nikawajibu siyo kazi yenu.

Hili liwe fundisho kwa wadada, unapoondoka usinyee kambi. Mimi mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa tatizo ni nini, biashara inabuma au ni mapenzi tu anakosa mashine, mi sielewi na sitaki kujua.

Ur still a learner
 
kwaiyo wewe mika yote hiyo ambayo anakuacha na kukurudia, unakuwa unashangaa shangaa tu , ukimsubiri arudi?

Story zingine buana...!
 
Hampendi jamaa ndio maana akipata mtu anaempenda anamuacha jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anahangaikaaa wee..Mara huku mara kule
Huyu anampenda huyu jamaa ila tamaa ndo zinamuendesha.akipata anakuwa jeuri,zikiisha anakua mnyenyekevu anarudi.
Hapo ukute huo Mradi aliofungua kwa pesa za mzazi wake umedoda ndo mana karudi.na akipata tena anaondoka hivohivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom