Kibuti cha dharau..............

Dawa ya ugonjwa gani sasa?
Unajua unaweza kushangaa kila ukipika chakula hakiwivi, kumbe mkaka wa watu anamlilia Mungu huko. Laana sio mpaka uokote makopo ati?

Na nyie mmezidi sasa.
Na dawa yenu ni kujiendeleza kibiashara ili mpenzi wangu awe pesa!!
Tuone kama hamjaniganda.
 
Ninaye mmoja tu mwaka wa kumi sasa, kabla yake nilikuwa ni mzee wa "hit and run"



Una bahati mkuu,uko kama mimi yaani huwa siwezi kupiga kibuti ila mazingira tu yanakatisha mawasiliano na kwa utaratibu huo huniwekea mazingira mazuri ya kutembelea makoloni yangu kokote nilikopita kwa kuwa hatukuwahi kugombana....
 
ckumbuki kama nishawahi kupigwa kibuti, ila me ndio nawapiga, ila sio cha dharau, mana hao niliowapiga nikikutana nao ni salam na vicheko kwenda mbele.


Hongera mama kwa kutopigwa kibuti,hapa nafikiri tu lakini kati yangu mimi na wewe nani atampiga kibuti mwenzake..?
 
dah! Hapo chacha, ila mimi na wewe hamna kupigana vibuti, au vibuti vyetu vya kimyakimya ila tunaendelea kuwasiliana tucwape faida marafiki.


Haya masaa matatu niliyokuwa nikisubiria ujumbe huu nimeyaona kama mwaka vile,na umeongea kwa msisitizo wa kiutu uzima maana watu wazima huwa hatupigani vibuti,wambea watajibebaje mwaka huu.....watajijuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom