Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
Kama kaolewa kaokoka kweli toka kwenye makucha ya waonjaji kama Muuza Sura lol!

Hahahahahahaha lohhhhh
samahani kwa kucheka
Pole sana

Ukifika dar kaoge baharini unapigwa mno vibuti kakaWadau nipo ndani ya Sumry naelekea Dar, sijaamini kwani nimemuona binti aliyenipiga kibuti nikiwa form 3, sikuwah kumuona tena mpaka hii leo
nyie ndo mnasababishaga watu wahame nchi wakipigwa kibuti......hahhahaa!
dah ushauri wako nitaufanyia kazi, pengine inawezekana nachagua sana...lolUkifika dar kaoge baharini unapigwa mno vibuti kaka
pole mkuu, vipi dada zake walipoolewa alirudi tena?Nilipigwa kibuti baada ya kutangaza ndoa!!! Nimekaa na demu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na tulikuwa kama tunapendana sana na alikuwa ananishawishi nimuoe!!! Ile kumwambia sasa muda umefika nikuoe, akasepa!!!! Et ye mdogo, mila za kwao mpaka dada yake aolewe kwanza na n.k!!! Nilikonda ka mgonjwa kwa siku mbili tuu!!!
pole mkuu, vipi dada zake walipoolewa alirudi tena?

aaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.

Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
Hata hao wanaoanguka majukwaani kama KJ hawajalambwa vibuti!!dunia ya leo mwanamke akupige kibuti kwa kosa gani? Labda kama unaumwa ugonjwa wa kuanguka majukwaani
unamaanisha unachokiseama?

Kweli siku hizi hakuna wa kukupiga kibuti,wote ni wa wote!!