tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
- Thread starter

- #41
maneno mazuri ila vibuti vinachusha akili na mwiliHivi vitu ni vya kwaida tu jamani. Mapenzi ni tamaa ya mwili tu ambayo ukiiendekeza waweza kujutia baadaye kama haupo makini.
Kuacha na kuachwa ni vitu vya kawaida tu katika jamii yoyote. Cha msingi ni kuwa mvumilivu mara matukio haya yanapotokea.
Tukishindwa kuwa wavumilivu, Je tutaweza kuishi na nani hapa duniani??
Swala la kupewa kibuti kwa upande mwingine ni gumu kulivumilia lakini na inahitaji moyo na upeo wa hali ya juu. Ubinadamu kazi sana ndugu.
Kwa wewe unayepewa kibuti, jiulize kwanini unapewa?? Jichunguze kwanza wewe mwenyewe na kisha kata mzizi huo uliosababisha wewe kupewa kibuti Kama kweli bado wampenda binti huyo.
Akikukataa jaribu kwingine usikate tamaa.
ni hayo tu kwa leo.
Mkuu una roho ngumu unafukuzia miaka mitano ???Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa. Kibuti sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5, namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu waliwapenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbu, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki. Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
We ulibeep yeye akakupigia kabisa hahaha!tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri
back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha
Alitingisha kiberiti kilichojaa lol!ha ha ha....mwenyewe ukajua umemkomesha....si ajabu ulikuwa unajaribu mwenzio akafanya kweli....
Hahaha! mbavu zangu jamani hapo kweli ulikuwa hutakiwi,kukodiwa hadi taxi ? alikuwa mtu wa pwani nini mkuu ? lol!Mimi demu alinipiga kibuti baada ya yeye kuja na teksi nikagoma kulipa nikamwambia alipe mwenyewe
Kama kaolewa kaokoka kweli toka kwenye makucha ya waonjaji kama Muuza Sura lol!demu aliniambia ameamua kuokoka kwahiyo tuachane!baada ya siku kadhaa napata taarifa kaolewa!
Mie pia nimecheka sana, eti lenyewe, ina maana bado anali mind eeeeDah!!! I couldnt help not to laugh ........... pole Tutor B
Yaani umeshapata mwingine ila bado unampenda sana? kwa hiyo huyu wa sasa bado unamdanganya? jitahidi umsamehe na na ukiweza kumsamehe utamtoa akilini mwako, bila ya hivyo hutaweza ku move onduu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,
hajapata m2, ni mzuri ila ana
complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho

ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti

baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu

nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu

hahhaha

Mi kuna mmoja humu nampenda, kwa jina nahisi vile vile ni mzuri,,lakini naogopa kibuti.

duu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,

hajapata m2, ni mzuri ila ana

complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

demu aliniambia ameamua kuokoka kwahiyo tuachane!baada ya siku kadhaa napata taarifa kaolewa!